Tunazalisha na kusambaza bidhaa bora za ujenzi kwa miradi imara na ya kudumu.
Tunatoa vifaa vya ujenzi vya ubora katika Kahama, Shinyanga na maeneo mbalimbali ya Tanzania, tukizingatia ubora, uimara, huduma bora na ufikishaji wa bidhaa.
PAZA GENERAL SUPPLY Ltd ilianzishwa mwezi Mei 2025 na inafanya kazi Kahama, Shinyanga, Tanzania. Kampuni inajishughulisha na utengenezaji, mauzo na usambazaji wa vifaa vya ujenzi.
Kuwa kampuni kinara na ya kuaminika zaidi katika utengenezaji na usambazaji wa bidhaa bora za ujenzi wa miundombinu na majengo imara nchini.
Kutoa bidhaa za ujenzi zenye viwango vya juu vya ubora, uimara, na uimara wa muda mrefu kupitia matumizi ya teknolojia ya kisasa, huku tukizingatia huduma bora kwa wateja na bei za ushindani sokoni.
Peva imara kwa ajili ya njia za magari, watembea kwa miguu, viwanja na maegesho.
Weka Order Yako
Matofali imara ya saruji yanayofaa kwa ujenzi wa kuta na kazi mbalimbali za ujenzi.
Weka Order Yako
Tuna huduma bora zaidi ya usafirishaji Bidhaa mbalimbali za ujenzi hasa ukinunua bidhaa kutoka kwetu.
Soma ZaidiTunazingatia ubora wa bidhaa za ujenzi.
Tunajenga mahusiano ya kuaminika na wateja wetu.
Tunatoa bidhaa zinazolenga ujenzi imara na wa kudumu.
Tunazingatia bei zinazofaa sokoni.
Tunazingatia mahitaji na kuridhika kwa wateja.
Tunasaidia kufikisha bidhaa kwa usalama na kwa wakati.
Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi kuhusu bidhaa zetu, huduma za usafirishaji na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi.