Nyumbani / Miradi Yetu

Miradi Yetu

Angalia baadhi ya miradi iliyokamilishwa kwa kutumia bidhaa na huduma za PAZA GENERAL SUPPLY Ltd.

Miradi yetu inaonyesha matumizi ya bidhaa zetu za ujenzi na huduma tunazotoa kwa wateja katika mazingira halisi ya miradi.

Mradi Maarufu
Gorofa
🔍

Gorofa

Tumefanikiwa kujenga magorofa mengi kwakuwa sisi tunahuduma na bidhaa nzuri zenye viwango vya ngazi na ubora wa kimataifa.

Omba Huduma
Mradi Maarufu
Makazi
🔍

Makazi

Tumefanikiwa kujenga makazi zaidi ya 1000 ndani na nje ya Manispaa ya Kahama kwa viwango vya juu zaidi.

Omba Huduma

Unahitaji Vifaa vya Ujenzi kwa Mradi Wako?

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au omba nukuu kwa mradi wako.

Pata Nukuu Wasiliana Nasi